kcselogo
spacer
 
PRIMARY LEVEL
English Language Papers
Writing Compositions
Lugha ya Kiswahili Papers
Uandishi wa Insha
Mathematics Past Papers
Science Past Papers
Social & Religion Papers
Ecede Resources

 

SECONDARY LEVEL
Agriculture Past Papers
Arabic Past Papers
Art Design Past Papers
Aviation Past Papers
Biology Past Papers
Building Construction Papers
Business Studies Papers
Chemistry Past Papers
Computer Studies Papers
CRE Past Papers
Drawing Design Papers
Electricity Past Papers
English Language Papers
French Past Papers
Geography Past Papers
German Past Papers
Hindu Past Papers
History Past Papers
Homescience Papers
IRE Past Papers
Lugha ya Kiswahili Papers
Mathematics Past Papers
Metalwork Past Papers
Music Past Papers
Physical Education Papers
Physics Past Papers
Power Mechanics Papers
Woodwork Papers Papers
Other Disciplines
 

insha Bora

VIDOKEZO VYA UANDISHI BORA

Mambo muhimu katika maandalizi na usahihishaji wa insha

Mwanafunzi anayejiandaa kuandika insha ya kuvutia hana budi kutilia maanani vipengele
vifuatavyo. Mambo haya ndiyo hutiliwa maanani sana katika usahihisaji wa insha.

a) Sura au mtindo wa insha

Sura au mtindo wa insha lazima uzingatiwe, kwa mfano;
- Sura ya hotuba
- Sura ya barua ya kirafiki     
- Sura ya barua rasmi.     
- Sura ya mjadala
- Maelezo ya moja kwa moja
- Ubunifu n.k.

Iwapo mwanafunzi hatazingatia sura au mtindo unaostahili, atapoteza alama ya sura.

b) Urefu wa insha

Ni muhimu mtahiniwa azoee kuandika insha kadhaa akizingatia urefu unaohitajika. Wengi wa wanafunzi huandika insha fupi mno. Kisha wao hupoteza alama kwa kutozingatia
maagizo haya.     

c) Mpango / mtiririko wa mawazo

- Mpango wa maandishi ya insha lazima uwe kwa aya zinazovutia. Epuka aya ndefu au fupi sana.
- Mawazo ya kazi ya mfehiniwa yawe ya kutiririka. Mawazo yasipangwe shaghalabaghala.
- Hati ya mtahiniwa ni ima faima iwe ya kusomeka bila tatizo. Epuka kufutafuta.

d) Hoja au yaliyomo au vipengele viwe zaidi ya sita

Baadhi ya watahiniwa hutoa hoja chini ya tano. Epuka kuandika hoja chache kwani utapoteza alama ya yaliyomo.

e) Mapambo ya lnsha

- Siri ya insha nzuri ni msamiati uliopambika na uliotumika vizuri.
- Wengi wa wanafunzi hupachika msamiati mzito mzito bila makini.     
- Tumia msamiati wa kueleweka kwa urahisi ikiwezekana.
- Msamiati kama:
- Semi
- ashbihi
- Nahau     
- Majina ya makundi     
- Methali
- Istilahi za taaluma
- Tanakali za sauti
- Tashihisi n.k.

 

f) Makosa ya sarufi na hijai

- Tumia sentensi fupifupi itt kuepuka makosa ya sarufi.
- Iga sentensi kutoka katika kitabu ulichokisoma.
- Epuka kuwaza au kufikiNa kwa lugha ya mama na kuandika kwa kiswahili.
- Usitumie maneno mengi kuelezea jambo.

Hi kuandika insha ya kuvutia ni lazima mwanafunzi afanye mazoezi mengi, ajipime' muda wa kuandika insha kama hiyo na mwalimu au mwenzake asahihishe kazi hiyo. Mazoezi ya mara kwa mara ndiyo siri ya kuboresha uandishi wa insha. Jaribul

VIDOKEZO YA UANDISHI BORA

 

  KCSE ONLINE Resources

 

Chat on facebook

Follow on twitter


 


 

SEARCH OTHER TOPICS

To Help you Remember the Site Address of KCSE ONLINE, Download and install the Toolbar below to Your Computer - Success

Get our toolbar!


 

Arts

Business
Careers
Cars
Computers
Culture
Education
Electronics
Fashion
Food
Health
Hobbies
Holidays
Home & Garden
Internet
Legal
Parenting
Parties
Personal Finance
Pets
Relationships
Sports & Fitness
Travel
Wedding